1. Nunua TVS STAR HLX 125 ni bomba, ngumu kuharibika na zina ulaji mdogo zaidi wa mafuta (km 60 kwa lita 1).
2. Kiwango cha kuingiza inategemea na sehemu ya biashara yako.
3. Ukiwa mtunzaji gharama ya kuitengeneza ni elfu 8 (oil-6,000+fundi-2,000) kwa kila wiki au wiki 2.
(biashara ushindani usije lalamika ikiwa huna kipaji cha kuvuta wateja, ukishindwa saana nitafute kuna kampuni ipo special kukusaidia dereva, matunzo, kukulipa hesabu).
My PM is open!.. Nitafute tu mkuu.You are very right Palantir...Naweza kukucheki kwa ushauri zaidi? asante