jamani naomba nieleweshwe kuhusu tatizo la kuwa na chunusi usoni kunasababishwa na nini? na je madai yakuwa nikwasababu ya kutojishughulisha na mapenzi ni ya kweli? nini tiba yake?
mm madai ya kutojishughulisha na mapenzi sio ya kweli,sababu pia ziko nyingi na tofauti, kuna wengine nyuso zao zina mafuta mengi, wengine kuchanganyachanganya cream etc