SureTafuta iyo utakuja kunishukuru baadae
Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko
Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.View attachment 1777265
Tafuta iyo utakuja kunishukuru baadae
Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko
Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.
View attachment 1777265
Swali zuri nasubiri jibuNdege unapambana nao vipi?
Tafuta iyo utakuja kunishukuru baadae
Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko
Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.
View attachment 1777265
Mkuu asante sana kwa majibu yako,napenda kufahamu je gunia moja naweza kukamua mafuta kiasi gani?Tafuta iyo utakuja kunishukuru baadae
Iyo 1 kg unapanda heka moja mfuko uo inauzwa 35K Kwa mfuko
Usipo weka mbole utacheza na 10-15 Kwa heka ukiweka mbolea utaenda hadi 25.
View attachment 1777265
gunia nadhani unapata mpaka lita 20 kama alizeti imekauka vyemaMkuu asante sana kwa majibu yako,napenda kufahamu je gunia moja naweza kukamua mafuta kiasi gani?
Kumbe alizet inatiwa mbolea, huku mtaani tunaamini kua alizeti haipandwi kwambolea wala haikuzwi kwambolea tunasema inajikusanyia mbolea yenyewe kumbe tupo wrongTafuta iyo utakuja kunishukuru baadae