Kama upo dar nenda hapa Regency hospitalSamahani Mkuu tzhello, naomba unifahamishe hiyo maabara ya Lancert ipo wapi? nami nahitaji maabara nzuri ya kuaminika nikafanye vipimo kadhaa for health check up.
Ahsante
ww upo wapi mkuu? hizi maabara zipo dar,arusha,dodoma, na moshi
Kama upo dar nenda hapa Regency hospital
Asante Dokta, nashkuru nimekuelewa sana ntafanya hivyo.mkuu majibu yako yanasema baada ya kufanya hiyo routine urine culture ni kwamba hakuna maambukizi yoyote ya bacteria( No pathogenic bacteria)
kwahiyo hakukua na haja ya kufanya "sensitivity test" ambayo inafanyika kama kuna maambukizi ili kupata drug of choice
Hayo maumivu huenda yanasababishwa na tatizo lingine kwa ushauri zaidi muone daktari
ziko mahali pengi tu kwa sasa kama mdau mmoja alivyosema hapo juu,mi nilienda kwenye kituo cha muhimbili nje kabisa ya hospitali kabla hujaingia,ila gharama zao ziko juu kidogo lakini vipimo ni vya uhakika.Samahani Mkuu tzhello, naomba unifahamishe hiyo maabara ya Lancert ipo wapi? nami nahitaji maabara nzuri ya kuaminika nikafanye vipimo kadhaa for health check up.
Ahsante
Samahani dokta hivi hii VIABLE COUNT yenye jibu ''mkuu majibu yako yanasema baada ya kufanya hiyo routine urine culture ni kwamba hakuna maambukizi yoyote ya bacteria( No pathogenic bacteria)
kwahiyo hakukua na haja ya kufanya "sensitivity test" ambayo inafanyika kama kuna maambukizi ili kupata drug of choice
Hayo maumivu huenda yanasababishwa na tatizo lingine kwa ushauri zaidi muone daktari
colony-forming unit ( CFU )Samahani dokta hivi hii VIABLE COUNT yenye jibu ''
COLONY COUNT (1) 10*3 CFU per ml (approx 1000 organisms)'' inamaanisha nini?
Ndio mkuu..ila ukienda jiandae mfuko uwe vizuri kidogoMkuu, mimi nipo Dar. Maabara zao ni nzuri za kisasa eeh?
Nimekupata kiongozi,na shukrani kwa msaada wako.colony-forming unit ( CFU )
is a unit used to estimate the number of viable
bacteria or fungal cells in a sample. Viable is
defined as the ability to multiply via binary
fission under the controlled conditions.
Counting with colony-forming units requires
culturing the microbes and counts only viable
cells, in contrast with microscopic examination
which counts all cells, living or dead.
The
visual appearance of a colony in a cellcoun culture
requires significant growth, and when counting
colonies it is uncertain if the colony arose from
one cell or a group of cells. Expressing results
as colony-forming units reflects this
uncertainty.
kwene majibu yako yanasema viable count ni 1(1000 organisims per mil of urine), means hiyo ni number ya "non pathogenic bacteria" waliokua katika hiyo specimen yako, I hope umenipata mkuu
NB: am not a doctor, am a lab scientist