1-fika stendi ya magengeni ingia kushoto nenda mpaka NDEGE BEACH kula vyombo huku unapigwa upepo wa bahari ila tu usifanye fujo ukilewa ni ya wajeda hyo
2-mapinga opposite na baobab shule... ingia kwa ndani kuna bonge la chiling place linaitwa Ndoto PolePole Farm huko kuna swimming pools kali huku ukipata view natural ya msitu..kama unapenda kuendesha farasi basi hapo umefika..
hitimisho- kama unapenda utulivu na bebe nenda Ndoto PolePole Farm