Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa???
Wewe unataka?
Sidhani kama kuna muoaji humu lakini
ila tangaza tu nia mamii
Kuna dada mmoja alijitokeza mda kidogo umu jf alikua anatafuta mchumba(mume wa kumuoa) je Umefanikiwa???
alifanikiwa kukutana na mimi na mwezi huu tunafunga mkataba, pole kwa kuchelewa kuonyesha nia yako.