Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka

Radick Gabrick

New Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi [emoji535] kupitia Semi [emoji597]
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje.

Msaada Please
 
Nimaelewano
Mfano hku kwetu HANDENI to Dar tandamu m 1.3 wakat single lake 7 Hadi 8
 
Kwa umbali huo sjui japo naamin kama unagunia nyingi haizidi sh 10000 kwa gunia
 
Back
Top Bottom