Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi [emoji535] kupitia Semi [emoji597]
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na inakuwaje.