Labda uanze kutueleza unajua maana ya chuo kikuu?Chuo kikuu ni nini?
DIT walianza kutoa degree ya kwanza (bachelor) degree toka mwaka 2004 na wanachuo wa kwanza waligraduate 2008,mwaka huu wanaanza kutoa shahada za uzamili(masters),na baadaye watatoa shahada za uzamivu(Phd) ,sasa sijajua tafsiri yako ya chuo kikuu ni ipi!DIT kitaendelea kuitwa Institute of Technology not University hata hapo watakapoanza kutoa shahada za uzamivu(Phd)