DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,679
Huu wimbo wakati ule ukiimbwa nilikuwa mdogo sana ..lakini maudhuhi yake yalikuwa yananifurahisha sana...manake vijana wadogo wadogo wa wenzi hizo...radio yetu ni moja na nyimbo nzuri nyingi za burudani na elimu ya umma zilikuwa zinatoka mida ya mchana mwema mida ya maakuli ..lakini pia kulikuwa na nyimbo kwenye vipindi vya elimu ya umma.
Kuna nyimbo ulikuwa ukiziskia unavutika kujifunza jambo muhimu na hasa UADILIFU na HESHIMA kwa mali ya UMMA...moja ya nyimbo hizo sikumbuki ulipigwa na bendi gani ila ulikuwa ukisikika kwenye kipindi cha mambo ya wala Rushwa cha MIKING'AMO..kama nimekosea verse za mwanzo naomba kusahihishwa manake enzi zile kwenye medani za siasa za umri ule nilikuwa mdogo sana mwa miaka nane kuelekea kumi na ushee.Wimbo ule ulikuwa unasema ''Bomu limekwisha pasuka, maji yamekwisha mwangikaa...niniiinii...na kuendeleaa..''.
Mantiki ya wimbo ule ulikuwa ni kutoa maonyo na kuhamasisha umma juu ya maswala ya mapambano ya Rushwa kabla ya ujio wa udokozi wa mali ya umma,na sasa ya kupanda dalaja kwa udokozi huo na kuwa ukibaka wa mali ya umma, ambao unapanda dalaja kuelekea kweye ujambazi wa mali ya umma kama bidii za kuzima mwenendo huo azitachuliwa hatua stahiki kwa sasa.
Wimbo wa aina ile..nazinginezo za zama zile katika kupinga Rushwa zilipotelea wapi ? ...Naomba kuuliza kwa sauti kubwa wale wote wanaotoka studio za TBC na kupita hapa watwambie zile TAPE za nyimbo za RUSHWA ziliozokuwa zikipigwa zama zile mara kwa mara kuimiza Watanzania wema kukaa mbali na Rushwa zama zile zile Kaseti aka Kanda JE ZILILIWA na Panya au Zililowa na maji kwa kudondokewa na Paa?..Watwambie tujue..Manake hakuna kitu chenye kumfundisha jambo binadamu kwa ufasaha mzuri duniani na kukumbusha historia ya maisha yake kwa haraka zaidi kama muziki huu tunaosikiliza hapa duniani.Manake marehemu Dk Remmy alishasema muziki hauna mwenyewe...mbele ya Mwenyekiti kuutubia ni muziki unaanza kuwakusanya watu..
Kupitia ule muziki wa zama zile kama muziki huu ninaojaribu kujikumbusha hapa, ilikuwa ni miziki ambayo iliwajenga Watanzania kuchukia Rushwa na kuiona kama ADUI wa dhati wa maendeleo yao.Hivi TBC wamekosa uwezo wa kupiga nyimbo hata 3 au 4 kwa siku kuimiza mapambono ya Rushwa na ujio mpya wa Baba wa Rushwa Ufisadi.Wamekosa kuingiza watu wapya studio wakaimba nyimbo za kutuelimisha madhara ya Rushwa na Ufisadi kama ilivyokuwa enzi ya Mwalimu Nyerere na Mzee Ally Hassan Mwinyi.
Nisaidieni nini kilitokea kiasi kuwa kwenye Radio ya Taifa inaweza kupita Mwezi usisikie wimbo japo wa kukemea Rushwa ...ni heri kuimiza kila studio sasa hivi kuwa inapiga nyimbo maalumu 3 au 4 kwa siku zenye kukemea Rushwa na Ufisadi kuliko kulazimisha wajiunge kusikiliza Taarifa ya habari kwenye kujiunga na TBC Raido na Luninga.
Kwa nyimbo zile ubongo wangu ulijengeka kuichukia Rushwa na mpaka leo siupendi Ufisadi na Rushwa..ni kwa kupitia nyimbo hizo.