Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Unataka kuoa mwanamke wa aina hiyo? Hongera sana. Wanawake wa aina hiyo wana adabu na heshima kwa wenzi wao. Kuhusu hilo la uzazi wala usiwe na shaka. Yupo mmoja namfahamu wa aina hiyo na sasa ana watoto wanne
Hembu jaribu kuulizia jukwaa la mambo ya afya maana hapa watu waliopo hapa ni siasa,kejel,majungu na wengi waongo sana
Wanazaa bila shida kabisa na wengi wana watoto..ikitokea hana mtoto ni matatizo tu kama ya wengine ambao hawana kibiongo na hawawezi kuzaaa .