Naomba kuuliza ili mtu aitwe doctor kama dk SLAA ,dk Harison ana ngazi gani kielimu

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
Tofauti ipi iko ya kielimu kati ya dk slaa na dk Wilimboka?
 
Dokta ulimboka ni degree ya kwanza tu yeye kazi yake ni kutibu watu,Dr Slaa ni degree ya tatu(PhD)doctor of philosophy.Doctor ulimboka ni tofauti kabisa na Dr Slaa,kiutaalam wanatakiwa wajiite Medical Doctor lakini wanang'ang'ania tu kujiita Dr. badala ya MD.
 

Hapa sasa ndio naona umeteleza ndugu yangu!
Na hii inanipa wasiwasi kuhusu umri wako,maana kama wewe ni mtu mzima usingesema hivyo.
Kwanza MDs hawajiiti madr,bali hiyo "D" ndiyo inayowapa sifa ya kuitwa dr,kama ilivyo kwenye PhD. Ni kweli viwango vya elimu na utalamu wao unatofautiana kama ulivyosema inagawa husema unapima vipi hiyo tofauti.

Kama msomi ungeweka hasa definition ya doctor ni nini badala ya kuwashambulia hawa waganga wetu.Na vipi udokta wa heshima kama wa rais wetu,wenyewe unaitaje?
 
Kiba! Hivi unastahili kuwemo humu jamvini? Swali hili wanapaswa kuuliza wale jamaa wa redio imaan bana.

imagine mwanao kakuuliza swali utamdirect kwenye radio? Hila ndg kumbuka watu wana upeo tofauti kuna wengine wanachokifahamu wanajua kila mtu anajua.
 

je ili mtu haitwe doctor lazima awe na hizo degree 3 na zinatakiwa ziwe za nini ?
 
Hapa naona harufu ya malumbano yasiyo ya msingi,napita tu
 

Mleta uzi ana tatizo ila wewe una tatizo zaidi, nenda kajipange upya mkuu yaani hata definition za dictionaries zinakushinda kuelewa?
Na sasa utatakiwa utofautishe na Dr ya heshima kama ile ya mkuu wa nchi sijui ndo utabwabwaja nini sasa!
 
Mi nataka kujua tofauti ya udokta wa mkuu wetu inatofauti gani na ile ya dr slaa au wako sawa maana wote ni dr's.
 
Wakuu nimepata tofauti sasa kumbe tofauti ni kwamba sisi wobongo tunakosea kitu kimoja . How to differentiate DOCTOR and DACTOR kwa tofauti hii
jamaa yetu pale juu ni dactor (Dt) hila Dr. Slaa hivyo huyu ni daktari halali bali mkuu na wengine wengi wamevishwa kutokana na kufanya jambo ambalo ni unique. Je mkuu wetu alifanya nini?
 
Usawa ni kuwa wote wanastahili kuitwa doctor na hasa daktari wa binadamu(MD) na wanyama(VET) tena ni jukumu kujiita Dr. ili wawajibike(accountability) Tofauti nyingine na PhD ni hiyo uwajibikaji. Honorary degree kama ya mkulu ni misifa tu na ni aibu 'kujiita Dr' kama profesa J. Wanaostahili wape usione donge PhD ni mawe(degree) 3 hapo heshima mbele kama Slaa au Lipumba
 

Nani amekwambia dogo anaulizia Ulimboka mkuu, mtoto anaulizia Dr Wilimboka wewe unamjibu vya Ulimboka!
 

kuna mtu kasema ww uwezo wako wa kupambanua na kuelewesha watu ni mdogo sana.kaa kimya waje watu wenye ujuzi wa haya mambo.unachuki na waganga ,mmganga hahitaji misifa kama mnayojipa,.hata m.d anaweza kupata phd na wapo wengi tu,lkn ile heshima ya profesion yake inaendelea kuwa ya heshima kuliko hiyo dr nyingine ya kupewa au kuisotea.
 
Nani amekwambia dogo anaulizia Ulimboka mkuu, mtoto anaulizia Dr Wilimboka wewe unamjibu vya Ulimboka!

AISEE nimeipenda stahil yako coz inaonyesha una iq hata mi nilishangaa maana huyo ####wilimboka#### simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…