naona umefurahi kutajiwa SLAAUsawa ni kuwa wote wanastahili kuitwa doctor na hasa daktari wa binadamu(MD) na wanyama(VET) tena ni jukumu kujiita Dr. ili wawajibike(accountability) Tofauti nyingine na PhD ni hiyo uwajibikaji. Honorary degree kama ya mkulu ni misifa tu na ni aibu 'kujiita Dr' kama profesa J. Wanaostahili wape usione donge PhD ni mawe(degree) 3 hapo heshima mbele kama Slaa au Lipumba
Tofauti ipi iko ya kielimu kati ya dk slaa na dk Wilimboka?
imagine mwanao kakuuliza swali utamdirect kwenye radio? Hila ndg kumbuka watu wana upeo tofauti kuna wengine wanachokifahamu wanajua kila mtu anajua.
Dokta ulimboka ni degree ya kwanza tu yeye kazi yake ni kutibu watu,Dr Slaa ni degree ya tatu(PhD)doctor of philosophy.Doctor ulimboka ni tofauti kabisa na Dr Slaa,kiutaalam wanatakiwa wajiite Medical Doctor lakini wanang'ang'ania tu kujiita Dr. badala ya MD.
Dokta ulimboka ni degree ya kwanza tu yeye kazi yake ni kutibu watu,Dr Slaa ni degree ya tatu(PhD)doctor of philosophy.Doctor ulimboka ni tofauti kabisa na Dr Slaa,kiutaalam wanatakiwa wajiite Medical Doctor lakini wanang'ang'ania tu kujiita Dr. badala ya MD.
je ili mtu haitwe doctor lazima awe na hizo degree 3 na zinatakiwa ziwe za nini ?
Kiba! Hivi unastahili kuwemo humu jamvini? Swali hili wanapaswa kuuliza wale jamaa wa redio imaan bana.
Kiba! Hivi unastahili kuwemo humu jamvini? Swali hili wanapaswa kuuliza wale jamaa wa redio imaan bana.
kwanza acha nikupe katusi kadogo.."wewe MISABURI YA PETRO",acha udini MB.W.A wewee..
Jinsi inavyoonesha wewe ndiyo haustahili kuwa hapa,akili yko inakutuma kila mtu ameanza kutumia social network akiwa chuo kikuu nini??siku hizi wapo vijana mpaka wa o-level ni member wa jf,sasa maswali kama hayo ni kawaida.
Hiyo kali teh teh teh mi napita tuAISEE nimeipenda stahil yako coz inaonyesha una iq hata mi nilishangaa maana huyo ####wilimboka#### simjui
Yes! hapa umeweka mambo bayana! and the fact speak by itself.:becky:PhD is a Doctor of Philosophy, MD is Doctor of Medicine although both are addressed by the title of Dr. A doctor of Medicine is trained to administer medical treatments to patients who come to her/him for help. A PhD can be obtained in many different fields including liberal arts and the sciences. PhD was originally an academic degree, and it still is. Some PhD's may offer various kinds of treatment to individuals (ie, Psychologists) but most non-medical PhD's are earned for academic and not for purposes of direct treatment of presenting issues.
The MD program focuses on courses to develop the knowledge of the students who are going to become practicing medical doctors. The PhD has a similar course requirement for the respective field of study; however the PhD program requires a PhD student to also provide a significant contribution back to their respective field of study also know as a dissertation or doctoral thesis. Basically this makes two classes of doctorates, the professional doctorates (MD, DO, etc.) and the research doctorates (PhD). Bluntly put the PhD has a higher status academically than any professional doctorate (MD, DO, etc.), however professional doctorate (MD, DO, etc.) are more applied the PhD's.
Mkuu nimependa hoja yako kwani ni uelewa duni tulionao watu wengi mpaka inafikia wakati tunashindwa kumheshimu Rais wetu.Chuo Kikuu cha Nairobi wamethamini mchango wa Dr Kikwete na ndiyo maana kapewa heshima hiyo ila angepewa Mkapa bila shaka kusingekuwa na maneno sana!Dk Jakaya Kikwete ni daktari wa heshima( honorary doctor) aliyotunukiwa na University of Nairobi in 2007 baada ya kufanya jitihada kubwa za kumaliza mgogoro wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.ikumbukwe kwamba mgogoro huu uliwashinda wapatanishi kama Koffi Annan,Benjamin Mkapa na mama Graca Machel.Kikwete ni rais wa kwanza barani Africa kutunukiwa daraja hilo na chuo kikuu cha Nairobi.Some Tanzanians are objectively and subjectively unjust to President Kikwete.
Luno G;
mleta uzi ukimaliza hapa fungua ili upate tofauti kati ya akina Prof Maji Marefu na akina Prof Tibaijuka
Umesahau Prof jay na Prof ludigo pia