Salama wapendwa wangu.
Naomba kuuliza kitu.
Mbona hizi picha za wasanii kwenye mitandao ni weupe sana kama wazungu ila ukikutana nao live weusi kama mimi tu.
Nimewakilisha baadhi ya wanaume washamba wanaokaa mikoani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.