Ni cement ipi nzuri ya kufaa kujengea nyumba ya kuishi... Huku kwetu simba cement ni bei nafuu, so nkajikuta nahitaji kuitumia ila nkahofia huenda isiwe na ubora, ndo nkaona nawaulize...
ukiweza kupata MOSHI CEMENT hutojutia kwa walioko moshi watakua mashahidi kwa hili. hiyo simba cement haiuziki tena huku hadi wamelegeza bei ila bado hali yao ni mbaya. moshi cement bila gloves fundi atachubuka mikono tu.