Naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana

Naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana

Joined
Sep 11, 2017
Posts
9
Reaction score
6
Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa.

Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake anapata maumivu,pili je vipi kuhusu mioyo yao ni miwili au kila mmoja anajitegemea?

Sorry for disturbing you
 
Back
Top Bottom