Naomba kuuliza juu ya mifuko ya ifadhi ya kijamii

alfredjembe

Member
Joined
May 9, 2014
Posts
38
Reaction score
23
Hapa Tanzania kunamifuko mingi ya ifadhi ya jamii, Je ni hupi mfuko mzuri ambao hauna usumbufu kwenye malipo?na unagharama ndogo kwenye makato?
 
ihadhi=hifadhi .
Mfuko wa hifadhi wenye benefits nyingi ni LAPF,makato always 5% or 10% ya mshahara wako,nyingine anakuripia mwajiri(ili kufikisha 20%),sasa yapo maneno kuwa hizo deduction zitakua uniform kwa mifuko yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…