truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Habari zenu. Naombeni kujua kisheria kama nitakuwa na kesi kwenye hili. Mfano, nina ugomvi na mtu, tumepigana kisha akaanza kukimbia nami nikawa namkimbiza. Katika kuvuka barabara yeye haangalii vizuri kama kuna magari, ikatokea akagongwa na kufariki, na watu wameona kabisa kuwa alijiingiza mwenyewe barabarani, je nitakuwa na kesi ya mauaji hapo?