truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Ndyo utakuwa na kosa la kuuwa bila kukusudia ( manslaughter) lakini adhabu hyo inaweza kupunguzwa kutokana na busara ya mahakama kadri itakavyoona inafaa.
Kama nilivyo kwisha sema hutegemea na hekima ya mahakama yenyewe hasa mpaka kufikia kwenye adhabu hyo watakayo itoa. Kuna baadhi ya mashauri yanayofanana na swala lako mahakama zikweza kutoa adhabua ya kifungo cha miaka
0 miaka 5 na wakati mwingine kumwachia
kabisa mhusika.. kwa hyo siwezi kutoa adhabu
sahihi kuhusu adhabu ila wewe elewa hilo ni
kosa kwa mujibu wa sheria .
Kwanini alizitupa alipoona maafisa wa takukuru?Naomba ushauri Ndugu Yangu alikamatwa na rushwa lakini yeye siye muhusika alikuwa yuko na mwandishi wa habari aliye omba rushwa baadaye mtoa rushwa akampa mtu ambaye akumuomba wakakamatwa wakiwa wote lakini baada ya Ndugu Yangu kuona maafisa wa takukulu wamewavamia akazitupa zile Pesa nje ya ile gorofa waliyokuwepo kupitia dirishani zikadondoka akatumwa afisa wa takukulu kwenda kuzileta alivyo fanikiwa kuzileta wakahakiki zile number kwenye fomu yao waliyokuwa nayo Kisha akaambiwa asaini lakini alikataa na kuwajibu siwezi kusaini kwa sababu amkunikamata na Pesa .
Je hapo anaweza kufungwa?