Naomba kuuliza, kirefu cha U.R.A ni nini?

Naomba kuuliza, kirefu cha U.R.A ni nini?

Juma Jra

Member
Joined
Dec 23, 2017
Posts
6
Reaction score
5
Mfanye mrudi tu uku maana msidhani kuna mshindi wa tatu, hakuna vya kusema mmekufa kiume wala kike, kifo ni kifo tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1]
 
Natabiri huenda Fainali ikazikutanisha URA na Singida United na mshindi wa fainali hiyo asilimia kubwa ni Singida United.

Leo Azam ana kalishwa vizuri tu.
 
Mme akifa na ukimwi mke awezi pona[emoji23] [emoji23] sasa mchague wenyewe kurudi mnaogelea au mdeki au mkodi mtumbwi
 
a58cf4b367515c3ec04ee2ac2cb81fda.jpg


Mtu ashasikia mahindi bongo bei imeshuka anawaza soko la mahindi yake nyie mnajitia kimbelembele kumpa majukumu ya penatiii


Hapendagiiii ujinga
 
Walistahili hawa waswahili yan wanapenda sifa kama wake Wa balozi...viazi mbatata hawa!
 
Yanga bana, nasikia hata mwaka jana mimba ilitungwa kwa mfumo huu huu.

Tena mwanaume huyu huyu.
 
Back
Top Bottom