Naomba kuuliza, korosho inauwezo wa kudumu store kwa muda gani?

Naomba kuuliza, korosho inauwezo wa kudumu store kwa muda gani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nimeona niulize maana sijaelewa hatma ya korosho zenye thamani ya karibu trillioni 1 ambazo hatujui zitauzwa lini au wapi. Tunaomba ufafanuzi
 
Kama hazijabanguliwa huwa zinastahimili muda mrefu maana maganda yake yana acid kali ambayo wadudu hawawezi kushambulia kwa urahisi

Kwa elimu yangu ya msingi
Mkuu. Zinaweza kufikisha miaka mitano?
 
Kama hazijabanguliwa huwa zinastahimili muda mrefu maana maganda yake yana acid kali ambayo wadudu hawawezi kushambulia kwa urahisi

Kwa elimu yangu ya msingi
... korosho hususan maganda yake ni eneo la uzamifu la Mh. Ukipata tasnifu yake ya PhD kila kitu kimo mle. Hope ukienda pale UDSM Main Library - Special Catalog utapata nakala.
 
Back
Top Bottom