FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daa afadhaliKama hazijabanguliwa huwa zinastahimili muda mrefu maana maganda yake yana acid kali ambayo wadudu hawawezi kushambulia kwa urahisi
Kwa elimu yangu ya msingi
Mkuu. Zinaweza kufikisha miaka mitano?Kama hazijabanguliwa huwa zinastahimili muda mrefu maana maganda yake yana acid kali ambayo wadudu hawawezi kushambulia kwa urahisi
Kwa elimu yangu ya msingi
Zinapunguaje uzito, kwa dehydration au?shida itapua uzito tu.
Kwa kawaida ni kavu zimecontain oil nying kuliko water ubora utapungua kidogoo,ila labda wanangoja bei ya korosho ichachamae ili pending sell yao i hit ya elfu tatu naa or atleast hao waliofanya analysis nafikiri waliconsider factor kadha wa kadha
Kuna shrinkage, taste, etc ...Daa afadhali
... korosho hususan maganda yake ni eneo la uzamifu la Mh. Ukipata tasnifu yake ya PhD kila kitu kimo mle. Hope ukienda pale UDSM Main Library - Special Catalog utapata nakala.Kama hazijabanguliwa huwa zinastahimili muda mrefu maana maganda yake yana acid kali ambayo wadudu hawawezi kushambulia kwa urahisi
Kwa elimu yangu ya msingi