Naomba kuuliza kuhusu altezzAa

Naomba kuuliza kuhusu altezzAa

cyber ghost

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2015
Posts
239
Reaction score
160
Je, ni model ipi ya altezza ndio nzuri kwenye speed na comfortable ikiwa barabarani?
 
Chukua 2JZ-GE ndio nzuri kwa first generation ya Altezza. Zipo Aina tatu kwenye hiyo generation na kila moja hutoka na sports version yake na moja huwa sedan nyingine huwa wagon.
 
Back
Top Bottom