C cyber ghost JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 239 Reaction score 160 Oct 7, 2016 #1 Je, ni model ipi ya altezza ndio nzuri kwenye speed na comfortable ikiwa barabarani?
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,957 Reaction score 6,221 Oct 7, 2016 #2 Chukua 2JZ-GE ndio nzuri kwa first generation ya Altezza. Zipo Aina tatu kwenye hiyo generation na kila moja hutoka na sports version yake na moja huwa sedan nyingine huwa wagon.
Chukua 2JZ-GE ndio nzuri kwa first generation ya Altezza. Zipo Aina tatu kwenye hiyo generation na kila moja hutoka na sports version yake na moja huwa sedan nyingine huwa wagon.