Naomba kuuliza kuhusu chevrolet inayofanana na swift

Naomba kuuliza kuhusu chevrolet inayofanana na swift

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Habari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta
4.Strength na weakness zake.
 
picha
 
Hyo ni kama Allex na Run x au Cami na Terioes au Ipsum na Picnic
 
Hizi?
column_168_01.jpg
 
Chev ni USA waliamua kutengengeza gari ndogo kwa sababu ya upinzani wa Japan
 
Hello! Hiyo gari imetengenezwa na General Motors au GM wakafanya ushirikiano na Suzuki ,hivyo basi Engine na Gearbox ni vya Suzuki.

Chevrolet cruze model code: HR52 S na HR51S
Engine model code no:M13A

Vitu vingine inaingiliana na suzuki swift zile HT models kwaiyo usiogope.

Kingine siyo imara sana miguuni lakini inazungumzika
Haina maradhi kama utaagiza engine ya M13A ni roho ya paka kama unatunza.

Hakali mafuta ni baeb walker ile usiogope.

Vipuri vyake ni bei rahisi tu havitishi kabisa.

Ref:nimeanza kuimilika muda mrefu sana 2015 mpaka leo kapo tu vile vile nimebadilishaga plugs tu.

Huku chini ni kawaida cerval joints,ball joints,na bushes basi na shocks kama mara mbili ndo mpaka leo.
 
Watu wenye roho nzuri kama wewe muishi maisha marefu.Maelezo mazuri sana,shukrani.
 
Habari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta
4.Strength na weakness zake.
Sijui kama.nimechelewa
But
Chev ni model moja na swift
Mazuri
Kana nguvu
Cooling system nzuri
Fuel consumptio. Katakupa 13km/l highway
Muonekano wa ndani mzuri

Weakness
1.miguu ya mbele
Hapa Gm walikosea kapita
Kila ukibadil engine oil cv joing pia zimeisha
(Kupatikana kipengele kingine)

2.stablerizer bar
Haiko imara kabisa kuna siku kametaka kunitoa roho
Maana nilipiga shimo stablerizer bar ikakata
Kakapasua tairi
Good thing sikuwa na speed kubwa

3.fuel consumption haiendani na engine
Kwa toyota model zenye engine ukubwa huo
Unapata 18/17 km/l lakin kwenyewe kanakupa 13/12/l not worth it.

4.muonekano
Hapa nakapa 2/10
 
Ni gari nzuri ninayo natumia km back up , changamoto za kawaida sana , spear zinaingiliana kila kitu na suzuki swift , nilichogundua hii gati ikifika km laki1 na 50 k badili coil spark weka mpya pamoja na fuel pump .......cv joint zake bei ni 35000 tu kwa moja sio gharama ,but engine yake inahimili sana hakana magonjwa ya ajabu ajabu
 
Tugari tuzuri huto chukua. Kwanza ni brand ya heshima so usiogope.
 
Back
Top Bottom