inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
pichaHabari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta
4.Strength na weakness zake.
Hyo ni kama Allex na Run x au Cami na Terioes au Ipsum na PicnicHabari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta
4.Strength na weakness zake.
gari ya 2mil lazima ujiandae kisaikolojia!Picha hii hapaView attachment 2727140
Watu wenye roho nzuri kama wewe muishi maisha marefu.Maelezo mazuri sana,shukrani.Hello! Hiyo gari imetengenezwa na General Motors au GM wakafanya ushirikiano na Suzuki ,hivyo basi Engine na Gearbox ni vya Suzuki.
Chevrolet cruze model code: HR52 S na HR51S
Engine model code no:M13A
Vitu vingine inaingiliana na suzuki swift zile HT models kwaiyo usiogope.
Kingine siyo imara sana miguuni lakini inazungumzika
Haina maradhi kama utaagiza engine ya M13A ni roho ya paka kama unatunza.
Hakali mafuta ni baeb walker ile usiogope.
Vipuri vyake ni bei rahisi tu havitishi kabisa.
Ref:nimeanza kuimilika muda mrefu sana 2015 mpaka leo kapo tu vile vile nimebadilishaga plugs tu.
Huku chini ni kawaida cerval joints,ball joints,na bushes basi na shocks kama mara mbili ndo mpaka leo.
Watu wenye roho nzuri kama wewe muishi maisha marefu.Maelezo mazuri sana,shukrani.
Sijui kama.nimechelewaHabari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta
4.Strength na weakness zake.
unauza sh ngapi,picha zipo,upo wapGari nzuri sana. Haisumbui mkataba. Ninayo nauza pia