Tetesi: Naomba kuuliza kuhusu mvua wadau

Tetesi: Naomba kuuliza kuhusu mvua wadau

amina ngalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
309
Reaction score
170
naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ? wanashirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au ??
 
Mvua haijanyesha muda mrefu ni kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi
 
Back
Top Bottom