amina ngalo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 309 Reaction score 170 Jan 23, 2017 #1 naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ? wanashirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au ??
naomba kuuliza kuhusu story ya mvua wadau nasikia wajenzi wa barabara wana utaalamu waku fukuza mvua kwa kuipiga mabomu hii imekaaje kitaalamu kama mitambo wanayoitumia ni vilipuzi je ? wanashirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama au ??
pistmshai JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,313 Reaction score 3,683 Jan 23, 2017 #2 Hii dunia kweli inamatukio mengi ya kustaajabu! Ngoja nione na hili
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 23, 2017 #4 Unataka kusemaje?
M Mmwaminifu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 1,129 Reaction score 302 Jan 24, 2017 #5 Evelyn Salt said: Unataka kusemaje? Click to expand... Ndo nasubiri na mimi nijua anachomaanisha
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 26, 2017 #6 Mvua haijanyesha muda mrefu ni kutokana na mabadiliko ya hali ya nchi