Naomba kuuliza kuhusu NACTE

Naomba kuuliza kuhusu NACTE

Goti la samaki

Senior Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
144
Reaction score
78
Habari za humu wakuu,

Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?

Je, matokeo ni mabaya sana?

Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie

Hii ni especially kwa kozi ya Clinical Medicine.

Nakaribisha mawazo yenu asanteni.
 
Yatatoka tuu, uchaguzi ulivuruga vitu, hadi tukajikuta kwenye VPN!
 
Nami nimeuliza swli hilo maana watoto hawawezi kutoka walipo mikoani kuja chuo bla kujua fate ya semester 2 exams1
 
Habari za humu wakuu,,,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?

Je, matokeo ni mabaya sana ?

Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie

Hii ni especially kwa kozi ya Clinical Medicine.

Nakaribisha mawazo yenu asanten...
Hiyo ni kawaida yao kwa miaka mitatu iliyopita na huwa ina cost sana wanafunzi.Hata sisi wakati tumemaliza mwaka wa pili tunasubiri matokeo ya mwaka huo tulilazimika kufungua chuo na kuanza masomo ya mwaka wa tatu ili hali matokeo ya mwaka wa pili hatuna.

Yaliletwa baadae na kuletea watu hasara,maana wapo walio disco ikabidi wasitishe masomo kati ya sem 1 ya mwaka wa 3 na wapo waliopata supplementaries ilibidi mtu asome ya mwaka wa 3 na wa pili.Na ubaya chuo chetu kilikuwa hakitaki uingie mwaka wa 3 bila kulipa ada,na walio disco hawakurudishiwa pesa zao.So ni jambo lakusikitisha haswa kama unasoma chuo cha private.
 
Back
Top Bottom