Goti la samaki
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 144
- 78
Hiyo ni kawaida yao kwa miaka mitatu iliyopita na huwa ina cost sana wanafunzi.Hata sisi wakati tumemaliza mwaka wa pili tunasubiri matokeo ya mwaka huo tulilazimika kufungua chuo na kuanza masomo ya mwaka wa tatu ili hali matokeo ya mwaka wa pili hatuna.Habari za humu wakuu,,,
Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ?
Je, matokeo ni mabaya sana ?
Mwenye anajua au mwenye tetesi zozote za nacte kuhusiana na matokeo ya mwaka huu atuambie
Hii ni especially kwa kozi ya Clinical Medicine.
Nakaribisha mawazo yenu asanten...