Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kupaa" ni neno linalotumika kuelezea tendo la YESU Kristo kwenda Mbinguni kwa Baba mwili na Roho, kwasababu yeye mwenyewe alikuwa na uwezo wa kwenda mwenyewe Mbinguni kwa kupaa lkn "Kupalizwa" ni neno linalotumika kuelezea tendo la Mama Bikira Maria kwa msaada wa Mungu kunyakuliwa Mbinguni mwili na Roho,yeye hakuwa na uwezo wa kujipeleka mwenyewe Mbinguni km YESU Kristo, badala yake kwa Nguvu na uweza wa MUNGU alinyakuliwa Mbinguni mwili na Roho.