Michezo yote SportPesa Super Cup mbasharaAzam wanaonyesha maana bado sijasikia.
Azam wanaonyesha maana bado sijasikia.
Asante sana kwa hii taarifa, sasa naanglia mechi mubashara kabisa kupitia channeli K24Azam kama azam hawaonyeshi lakini kuna channel za kenya NTV, KBC na K24 wanaonyesha na zote zipo ndani ya kisimbuzi cha Azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Azam wanaonyesha maana bado sijasikia.
Kufa kufa tu hakuna cha kufa kiume wala kike hapaYanga imekufa kiume
kufa kufa tu hakuna kufa kiume wala kike hapa muache kujifariji ulofaYanga imekufa kiume
Mkuu samahani, fekero maana yake nini? Maana kuna sehemu huwa jamaa wanalitumia sana na sielewagi wanamaanisha ninikufa kufa tu hakuna kufa kiume wala kike hapa muache kujifariji ulofa
Timu za mpira zinatafuta heshima tu..ndio maana Ulaya wachezaji wananunuliwa kwa pesa nyingi ambazo huwezi kuzirudisha kwa kushinda vikombe..Bigwa anachukua $30,000 mshindi wa pili ni $ 10,000 mshindi watatu 7,500 mshindi wa nne 5,000 na waliobaki wa nne kila mmoja anabeba $ 5,000 bigwa mbali na kubeba 67 milioni za kitanzania kama miongoni mwa timu zinazo dhaminiwa na sport pesa anapata zawadi nyingine isiyopungua milion 200. Mwisho kabisa bigwa atacheza na club ya evarton ya uingereza kwenye uwanja wa nchi ambayo imechukua ubigwa.
Sasa kama bigwa wa ligi ya kuu tanzania bara anapata milioni 80 na ligi inachezwa mwaka mzima na bigwa wa sport pesa anapata kalibia milioni 70 la mashindano yana chukua wiki moja tu yani mechi tatu tu kipi bora?
Ndo kufa kiume vile kweli, mtu anakuulia nyumbani unasema amekufa kiumeYanga imekufa kiume
Wadau naombeni mwenye kujua anieleweshe mimi hapa,
Ivi timu inayochukua ubingwa wa kombe la spotpesa inachukua kiasi gani cha pesa?
nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app