Naomba kuuliza kwa ambaye anafahamu au anajua kuhusiana na wawekezaji

Naomba kuuliza kwa ambaye anafahamu au anajua kuhusiana na wawekezaji

Chamkae

Member
Joined
Feb 3, 2021
Posts
37
Reaction score
21
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuhusina na wale Wawekezaji ambao incase unaplot mahali wanakuja kujenga kama apartment.

Au office kwaanae jua anisaidie plz coz tuna eneo lipo town maeneo ya Ilala Bungoni.
 
Naomba kuuliza kwaanae fahamu kuhusina nawale wawekezaji ambao incase unaplot mahali wanakuja kujenga kama apartment ,au office kwaanae jua anisaidie plz coz tunaeneo lipo town maeneo ya ilala bungoni
Subiri wataalamu wa real estate waje
 
Back
Top Bottom