Naomba kuuliza kwa wale mnaojua kuhusu Gari za serikali.

Naomba kuuliza kwa wale mnaojua kuhusu Gari za serikali.

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Habarini wadau , heshima kwenu kwakuwa wajumbe wa baraza hili.

Wakulungwa naomba kufahamishwa, hivi gari za serikali especially hizi land cruiser V8 huwa serikali inaweka mafuta yapi kati ya Diesel au Petrol?!

Maana kuna mtu hapa tumebishana sana nikaona nije kuuliza hapa ambapo kuna wengi wenye experience na pia wanajua haya magari.

Je serikali wanapoagiza hizi V8 huwa wanachagua gari za Petrol au za Diesel?!
 

Mantahofu Ingawa Inategemea Na Watengenezaji

V8 Nyingi Sana Diesel Ila Za Petrol Zipo Pia Nyingi

 
Back
Top Bottom