Soma reviews, hiyo simu lazima ni boga.Habari za humu wanajukwaa
Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS je maana sijawah kuagiza kwenye platform hii mm huwa natumia KIKUU kuagiza vitu vidogo vidogo kama memory,flash,eaphones tu
Ubora wao bidhaa zao ni halisi kama zinavyookenana kwenye descriptions zao
Na inachukua muda gani kukufikia tangu umeagiza
Na je wanatumia njia gani kusafirisha hadi inifikie
MFANO HII SIMU HAPA JE INAWEZA KUWA ORIGINAL NA INA KILA KITU KINACHOONYESHWA HAPA MAANA NATAKA NIAGIZE View attachment 1885459View attachment 1885460
Kiongozi tusaidie kutuelewesha uliagiza kwa njia gani na ulipokea mzigo kwa njia gani?Usipende kununua masimu yaliyotengenezwa na watengenezaji wasioeleweka utapoteza tu hela zako hayo masimu ni matakataka search simu kama nokia,Samsung na nyinginezo zinazojulikana.Kuagiza tu haina shida,mzigo utaupata bila shida mimi nimeshawahi kuagiza miniature camera kutoka ali Express nikaipata.
Niliagiza kupitia Ali Express mkuu walinitumia kwa njia ya postaKiongozi tusaidie kutuelewesha uliagiza kwa njia gani na ulipokea mzigo kwa njia gani?
Natanguliza shukrani kwa niaba ya mtoa uzi.
Niliagiza mzigo zaidi ya simu was thamani ya dollar zaidi ya $900?Umewah kuagiza simu
Naweza kusema vingi viko Kama vinavyoonekana ingawaje ni muhimu Sana kusoma descriptions za item kwanza na pia kujua reviews na ratings za seller.Kwahyo vitu vyao ni sahihi kama vinavyoonekana