naomba kuuliza mhe. zitto kabwe je kaoa/ana mke

Status
Not open for further replies.

Twimane

Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
11
Reaction score
1
wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu nitawaambia kwa nini nauliza hivi.

natumaini hamtanishambulia baadhi yenu hahahahhhaa
 
Nadhani hakuna cha kujadili,thread ifungwe! Jibu limeshapatikana!
 
hili ni jukwaa la siasa. mambo ya ndoa ni personal hayahusiki hapa.
 
wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu nitawaambia kwa nini nauliza hivi.

natumaini hamtanishambulia baadhi yenu hahahahhhaa

Vipi kakutongoza nini?
 
Juzi juzi tu Obama kasaini baada ya David Cameroon kupitisha sera ya kamchezo kenu..... Haya sasa umekubali mwenyewe kuolewa na ZZK.
 
Inafahamika hajaoa,vp? Unataka umpe nini?mpe tu haina noma.
 
wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu nitawaambia kwa nini nauliza hivi.

natumaini hamtanishambulia baadhi yenu hahahahhhaa

Kwaani katiba inazuia mabachala kugombea urais?
 
Wabunge wa CDM hawaoi wala kuolewa! Zitto, Sugu, Mnyika, Mdee........
 
Zito ana mke na mtoto kama sio watoto kufuatana na katiba yetu,kama hujaelewa kasome katiba vizuri
 
ZZ Kabwe yupo JF na Katiba haimzui kuoa na mke sina uhakika ila Amina Chifupa na wengineo wanajitaja mjini hapa M-pm hata kwenye mitandao utampata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom