wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu nitawaambia kwa nini nauliza hivi.
natumaini hamtanishambulia baadhi yenu hahahahhhaa

Kwamba hao jamaa wanasubiri tuwashie miguu au niaje!? Au wako bize sana na politiki..Wabunge wa CDM hawaoi wala kuolewa! Zitto, Sugu, Mnyika, Mdee........
Wabunge wa CDM hawaoi wala kuolewa! Zitto, Sugu, Mnyika, Mdee........