naomba kuuliza mhe. zitto kabwe je kaoa/ana mke

Status
Not open for further replies.
Ila G. Thinkers mmezidi kuwa harsh! Dah yani mmemshambulia kama mpira wa kona. Punguzeni.
 
hao waliooa hawana lolote walilofanya zaidi wao na familia zao wanafuna kodi za wananchi tu.....
 
Inasikitisha kukuta mtu yuko above 30s lakini anajifanya kijana na kufungia suruali tumboni! Hawa ndiyo wanatuharibia mabinti zetu.
 
Wabunge wa CDM hawaoi wala kuolewa! Zitto, Sugu, Mnyika, Mdee........

sugu aliwahi kuumizwa sana na mtoto wa mbunge wa sumbawanga alikuwa anaitwa miti,mpaka leo hana hamu ya kuingia deep in relationship.
 
Hana mke, hana mchumba hivyo hajaoa. #kwamujibuwakeyeyemwenyewe
 
Mhuni yule hajaoa.
Tunakutana nae kila leo asubuhi pale Movenpick akila breakfast na washkaji.


 

Mkitaka kujua Thread hii ni umbea Business basi nukuu sentensi ya mwisho ya huyu jamaa hapo kwenye Red!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…