naomba kuuliza mtu ukiumia kakidole unaweza kufa?

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine
 
Huenda alipata Tetanus kama hakung'atwa na mbwa.
 
Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine

Kakidole ndiyo nini?

Kidole kwa maana sehemu ya kiganja au kidole(kidole tumbo/appendix)?
Mtu anaweza kupoteza maisha kutokana na shida ya moja kwa moja katika sehemu ya mwili au athari itokanayo na madhara fulani katika eneo hilo au mwili mzima. Hivyo kujibu swali lako ndiyo, inawezekana!
 
kidole cha mkononi na walimpima tetenasi walikuta hamna
 
Inawezekana Mimi nlifiwa na mjomba wangu ,aliumia kidole cha mguu sema alikua na kisukari kibaya Sana ,yaani Kama masihara mtu kajikwaa ndani ya week mguu ukaanza vimba ,hospital wakamshauri akate mguu siku mbili mbele wakati wanahangaika na rufaa ya kwenda India akaaga dunia
 
mgonjwa wa kisukari kupona kidonda siyo jambo jepesi sana, hapo anakuwa liable kupata infections.
 
Back
Top Bottom