Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine
Kuna jamaa yetu aliumia kakidole ktk kuzunguka mahospitani cha ajabu amekufa. Na kila dokta tukimuuliza walikua hawatupi maelezo ya kutosha unakuta wanasema nendeni hospatali nyingine
kidole cha mkononi na walimpima tetenasi walikuta hamnaKakidole ndiyo nini?
Kidole kwa maana sehemu ya kiganja au kidole(kidole tumbo/appendix)?
Mtu anaweza kupoteza maisha kutokana na shida ya moja kwa moja katika sehemu ya mwili au athari itokanayo na madhara fulani katika eneo hilo au mwili mzima. Hivyo kujibu swali lako ndiyo, inawezekana!
Inawezekana Mimi nlifiwa na mjomba wangu ,aliumia kidole cha mguu sema alikua na kisukari kibaya Sana ,yaani Kama masihara mtu kajikwaa ndani ya week mguu ukaanza vimba ,hospital wakamshauri akate mguu siku mbili mbele wakati wanahangaika na rufaa ya kwenda India akaaga dunia
mgonjwa wa kisukari kupona kidonda siyo jambo jepesi sana, hapo anakuwa liable kupata infections.