Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniWasiliana na ofisi ya ODC au RPC watakupa maelekezo zaidi.
.
Lakini minada hiyo hufanyika kwa mujibu wa sheria na lengo lake ni kuondoa msongamano wa hivo vitu emeo la kituo, gari limekatwa kwa kosa la kutolipa faini za barabarani na muhusika kapewa wiki mbili alipe madeni yake hakutoea miezi mitatu na akataarifiwa afike na hakufika basi litauzwa kwa bei yenye lengo la kufidia gharama za lile deni kwanza ingine ni kama bonus.
.
Gari la million 10 linaweza kuuzwa 5M