Siyo kuishi. Sisi hatuna uwezo wa kuamua kuishi au kuto kuishi. Sema wanatafuta mbinu mpya za kuiba.Dunia inakwenda kwa kasi sana.Kila kukicha watu wanabuni mbinu mpya za kuishi.
Wajinga ndiyo waliwao.Kiufupi Imani zetu ni kali ila sipendi kutofautisha kwa kukejeli.
Leo nipo ofisini napitishiwa karatasi kuhusu huduma ya maji ambayo inaondoa mikosi.
Mtindo huu ulianza kwa wakristo kama kubatiza na mengine ila mbona unajirudia upande wa waislamu.
View attachment 2240641
Kwenye uislam hakuna mji mtakatifu,Bali Pana misikiti mitakatifu,ambayo ni miwili tu,wa Makkah na yerusalem...hii ni kwa mujibu wa quranA/Alaykum ndg zng
Ujue mambo hayatofautiani sana maana asili ya hizi Iman zote ni hapo Mashariki ya kati/Middle East.
Ndio katika Uislam kuna maji ya zamzam na maji ya kisomo/dua.
Maji ya zamzam ni maji ya chemchem asili iliyopo mji mtakatifu wa Makka waislam wanaokwenda kuhiji mara nyingi huyabeba na kujanayo ila sio kibiashara na yanaminika kutibu na kuondoa matatizo mbalimbali.
Pia maji ya dua haya unachukua maji safi yaliyotwahara kisha ukayafanyia kisomo/dua na kisha kuyatumia kwajili ya tiba.
Wabillah tawfiq