Naomba kuuliza. Ni upi umri sahihi wa mtoto kuanza kung'oa meno?

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Kuna mtoto wa kike nilikuta nae maeneo flani hivi nikaona ameng'oa meno yote ya mbele. Na alikuwa kama anamiaka 6 ambaye ni sawa na umri wa mtoto wangu. na mm hapa kuhusu mtoto wangu hajang'oa jino hata moja nikahisi labda mtoto wangu meno yanaweza kuja kuanza kuoteana. na ukizingatia watoto wa siku hizi wanakuwa haraka sana kama kuku. lakini nikaona sio mbaya hili swala naweza kulifikisha kwa wataalam wa hapa jf mnishauri kwa faida ya wengi.
 


Tulia subiri wakati sahihi ukifika utaona na mwanao yupo kama huyo uliyemuona
 
Mm wa kwangu amemaliza meno ya mbele yote na anatimiza miaka 6 march 28

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…