Dege dege tunaita Convulsion kitaalamu kuna vitu vingi vinasabisha kama vile..
Homa kali kwa mtoto/febrile convulsion.
Sukari kushuka ghafla(hypoglycaemia)
Malaria kali(Cerebral malaria) hii hushambulia Ubongo.
Meningitis(Homa ya uti wa mgongo na Ubongo)
Septicaemia(Maambukizi)
UTI
Pneumonia kali(Severe Pneumonia)
Kifafa(Epilepsy)
Cerebral palsy(Matatizo Ya ubongo)
Dalili zake...Misuli kukakamaa kwa nguvu sana
Kungata Ulimi.
Kupata haja ndogo au kubwa ghafla.
Homa kali.
Matibabu yake Mpeleke hosp wakajue nn chanzo cha hiyo dege dege
Dawa za kutuliza kuna Valium/phenorbabitone ila Ni dalili za hatari sana hivyo huna budi kumpeleka Mgonjwa hospital mapema sana