Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Nmesema hayo sababu kuna askari alipewa kufuatilia mtuhumiwa Wangu lkn sikumuelewa ile siku namwambia mtuhumiwa yupo leaders club akadai hawez kwenda sababu anapajua leaders club sio pa mchezo
Hyo ipoje kwani hawezi kweli kuingia leader club au ttzo nn?
Msaada juu ya askari unaepewa kusimamia upelelzi Wa kesi yako upoje!!
Wanasheria msaada tafadhali sheria inasemaje juu ya askari mpelelezi !??
Najua npo kwa wanasheria I expect msaada tu