chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Hawa wachina wakija kwenye miradi kama barabara,ujenzi na mambo mengine.mbwa wanapotea sana tena walio nona ndio dili.
Na vimbwa vyangu kama sungura kila siku jamaa ananifata nimuuzie na huyu jamaa anawauzia sana wachina mbwa huku akiniambia wachina wanapenda kufuga.