Naomba kuuliza swali la kizushi kuhusu hawa Wachina

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hawa wachina wakija kwenye miradi kama barabara,ujenzi na mambo mengine.mbwa wanapotea sana tena walio nona ndio dili.

Na vimbwa vyangu kama sungura kila siku jamaa ananifata nimuuzie na huyu jamaa anawauzia sana wachina mbwa huku akiniambia wachina wanapenda kufuga.
 
Wanaliwa ila cha ajabu wavaa kobazi hawachukii kama yule mnyama mwingime akiliwa.
 
Wachina wanakula kila kipaacho kasoro ndege
Kila kitembeacho nchi kavu kasoro vyombo vya moto
Kila kiendacho majini kasoro meli na jamii zake
 
Umejipangaje kupigana vita vya WWIII na Wafia dini?

Wakati mwingine mnapenda kujitafutia matatizo bure kabisa pasipo na sababu yoyote maalum.
 
kwaiyo ulitaka kuuliza nin, ilo swali liko wapi, mbna silioni
 
Kama umeshawahi kula mishikaki ya mia 2,2 huko mabara barani umeungana na wachina, poyeee
 
Kama umeshawahi kula mishikaki ya mia 2,2 huko mabara barani umeungana na wachina, poyeee
kama vile vimishkaki vya 50 na 100 vilivyo vitamu ni vya dogi, bas acheni wachina wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…