STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Huyo Mpenzi uliyenaye unampenda KWA JINSI
ALIVYO Au Unampenda Kwa sababu ya ALIVYO
SASA?
Wewe unayejifanya unaahidi na kuapia,I love you
baby,with all my heart,I will never love you or cheat you...WEKA PAUSE KIDOGO
Imagine ungekuwa bado hujampa dyudyu(Maana
najua ushampa na tusibishane),Na unasema
unampenda halafu mwisho wa siku:
1.Unamkuta Msichana unayempenda sana ana Jinsia
2utafanyaje??Utaendelea kumpa huba shanta-shanta na maneno unayomwambia sasa??
2.Mmeoana akiwa Shababi kwelikweli mara siku 1
anapata ajali Kiuno Kushnehi,hawezi tena kuendesha
punda,na alikuzoesha Mikuno ya haja.Je utaendelea
Kumpenda na kuapa hutomsaliti tena??
3.Umejitahidi mmekaa na Mpenzi wako bila kufanya mapenzi mpaka mmeoana,siku ya Honeymoon una
hamu kwelikweli,hadi kipochi kinawaka alarm halafu
unakuta Kidume ana Kibamia cha hatari,ukikohoa tu
kinachomoka.Je utaendelea na mahaba yako ya
Hubby ake na kuapa kuwa wake daima??
UNAMPENDA KWA HALI ZOTE AU KWA SABABU UMEMKUTA ANA HALI ZOTE SAWA??