Naomba Kuuliza Tu! Samahani Lakini.

kwani vp jirani amekusnitch au
 
Hivi Inafaa Kukaa Mda Gani Kwa Jirani Baada ya kula Ndio Uondoke Ili usionekane Ulifuata Msosi!???
Mkuu mbona rahisi sana. Ukimaliza kula msosi mtext mtu akupigie simu, ktk maongezi jifanye kuna emergency itayokulazimu uondoke hapo.
Kabla hujamaliza vaa viatu utoke utaona unaletewa kamfuko ndani kuna kijicontena ( take away)

Kie Kie Kie Kie.
 
Lakini kusudio lilikuwa ni kufata msosi ama?
 
ukimaliza fasta tembea, ushapata nguvu za kutafuta vya kwako,..........uendelee kukaa, njaa ikianza kuuma tena?!!!
 
Ukimaliza shida yako, wewe ondoka, usisubiri kukaribishwa kula...
 
Due umu kuna mambo kwanza nenda nusu SAA kabla hawapika ukila koleza story nusu SAA tens ndo uage
 
Wengi huwa tunasakizia tumeacha wagojwa majumbani hivyo ni kuwaomba wasijisikie vibaya kwa kujimovezisha kwako.
 
Mi huwa nikimaliza kunawa tu nawaambia, jamen mimi si mkaaji, ngoja niwaage halafu natimua huku nikiongea na simu kilofalofa
 
Mkuu mbona rahisi sana. Ukimaliza kula msosi mtext mtu akupigie simu, ktk maongezi jifanye kuna emergency itayokulazimu uondoke hapo.
Kabla hujamaliza vaa viatu utoke utaona unaletewa kamfuko ndani kuna kijicontena ( take away)

Kie Kie Kie Kie.
Nimeipenda Hii Trick yako. utakuwa una uzoefu wa haya mambo Asrams.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ukiona chakula kimekaribia kuiva aaga , watakwambia subiri chakula ukimakiza kula tu una nawa unaondoka , hapo hautaonekana ulifuata msosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…