Naomba kuuliza tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini?

Nanah lee

Member
Joined
Nov 23, 2024
Posts
5
Reaction score
6
Jamani naomba kuuliza mwenye taarifa au uzoefu wowote atusaidie kwa sisi tuliokata rufaa kweny dirisha la mkopo HESLB majibu lini tujue wapo kimya hatuelewa lolote jamani
 
Kuweni wavumilivu, kushughulikia rufaa ni mchakato kwa hiyo huhitaji muda. Kwani ni muda gani umepita tangu mkate rufaa?
 
mpak leo n wik ya 2 kesh ikianz inaend wik y 3 tunaomb kujua jmn wengn vyuon hatujalipot
 
Sawa.
Rufaa huhitaji muda, kumbuka wanachofanya ni kupitia fomu yako ya maombi upya. Kwa hiyo itachukua muda wa si chini ya mwezi mmoja. Halafu fuatilia taratibu zao huwa wanataja muda ambao rufaa zitafanyiwa kazi.
 
swa shukrn ngoj tusubir
 
Back
Top Bottom